Mikopo yote gharama yake ni riba ya 6.6% kwa mwaka ( riba ambayo inaweza kubadilika kwa maamuzi ya Mkutano Mkuu). Ipo mikopo ya aina nne inayotolewa chamani
- Mkopo wa uwiano wa mshahara.
- Mkopo wa uwiano wa michango yake ( mpaka mara 3 ya akiba zake)
- Mkopo wa dharura
- Mkopo wa Elimu (Elimika loan)
Huduma za kijamii
- Rambirambi ( Mwanachama, mwenza au mtoto)
- Pole ya kulazwa kitandani akiumwa kwa kuanzia siku 30 na zaidi
- Pole ya kuumia vibaya kazini kiasi cha kuhatarisha maisha.
- Pole ya kujeruhiwa na risasi.
- Pole ya janga mf.( Moto, mafuriko, tetemeko au Upepo mkali nk.)