Mkuu wa Jeshi la Polisi na Mwenyekiti wa Bodi ya URA Saccos ltd wakisaini hati ya makabidhianoWajumbe wa Bodi na Wawakilishi wa PORTS SACCOS Kutoka nchini Kenya Waliotembelea URA SACCOS leo tarehe 16/04/2025 kwa ajili ya Ziara ya Kuja Kujifunza Mambo Mbalimbali Kutoka URA SACCOS wakiwa Katika Picha ya Pamoja na Baadhi ya Wajumbe wa Bodi na Watendaji wa URA SACCOS.