Ufunguzi wa Mafunzo ya Wawakilishi na Watendaji wa URA SACCOS LTD yaliyofunguliwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Ulrich Matei katika ukumbi wa mikutano wa Hotel ya Mbeya Highlands tarehe 27/10/2021.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Ulrich Matei akizungumza na Wawakilishi na Watendaji wa URA SACCOSS LTD katika ufunguzi wa Mafunzo ya Wawakilishi na Watendaji yaliyoanza tarehe 27-10-2021 Mkoani Mbeya.