MAELEKEZO YA NAMNA Y A KUPIGA PICHA YA KITAMBULISHO CHA URA SACCOS.

  • KAMERA YA KAWAIDA/ KAMERA YA SIMU YENYE UWEZO ANGALAU KUANZIA 2 MEGAPIXEL
  • PICHA IPIGWE KWENYE MWANGA WA MCHANA BILA FLASH NA KIVULI.
  • UPIGAPO PICHA SIMAMA UMBALI WA FUTI MOJA TOKA KWENYE USULI [ BACKGROUND].
  • PIGA PICHA UKIWA UMEVAA SHATI LA KIRAIA.
  • SIMAMA WIMA UKIWA UNAANGALIA KAMERA WAKATI WA UPIGAJI PICHA.
  • USIFUMBE MACHO WAKATI UNAPI GWA PICHA.
  • FUMBA MDOMO NA USITABASAMU.

 PICHA ZINAZOKUBALIKA.

  • INAWEZA IKAWA YA KAWAIDA BILA KUFUNIKA KICHWA.
  • UNAWEZA KUVAA MIWANI ILA ISIWE MIEUSI INAYO FUNIKA MACHO.
  • UNAWEZA KUVAA HIJABU AMA BHAGALISHIA.
  • USIVAE KAPELO.

MUHIMU: BAADA YA KUPIGA PICHA YAKO CHUKUA KALAMU NA KARATASI NYEUPE NA UANDIKE SAHIHI YAKO ,KISHA IPIGE PICHA SAHIHI YAKO KUKIWA NA MWANGA MZURI.