Close

MATUKIO

ZIARA YA MWENYEKITI WA BODI YA URA SACCOS LTD, BALOZI SUZANA KAGANDA – CP, AKITEMBELEA MATAWI NA BAADHI YA WANACHAMA WA URA SACCOS LTD

Mwenyekiti wa bodi ya URA SACCOS LTD yupo kwenye ziara ya kutembelea matawi ya URA SACCOS LTD kuona namna yanavyotoa huduma kwa wanachama wake pamoja na kubaini changamoto zilizopo kwenye matawi hayo. Aidha kupitia ziara hiyo, Mh. Balozi Kaganda amepata wasaa wa kuzungumza na wanachama wa URA SACCOS na kuendelea kuwapa elimu ya ushirika hususani Continue Reading

MSONKHO SACCOS – Malawi

Jumanne ya tarehe 06/08/2024 URA SACCOS imepata bahati ya kutembelewa na Viongozi wa MSONKHO SACCOS (Mamlaka ya mapato) kutoka nchini MALAWI, Wamekuja kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala mbalimbali ya uendeshaji wa Vyama vya Ushirika wa kifedha.Katika mazungumzo na Menegimenti/Watendaji wa URA SACCOS walisema SACCO yao bado ni changa kwani ilianzishwa mwezi Disemba Mwaka 2023, Continue Reading