Kwa malengo ya kulinda na kuongeza ukwasi wa chama Mkutano Mkuu umeazimia yafuatayo: –
KATIKA KUENDELEZA UTOAJI WA HUDUMA BORA YA MKOPO NA YENYE GHARAMA NAFUU KWA WANACHAMA, MKUTANO MKUU UMEAZIMIA KUPUNGUZA KIWANGO CHA RIBA YA MKOPO KUTOKA 8.1% KWA MWAKA NA KUWA 7.5% KWA MWAKA KUANZIA JANUARI 2022. PIA AKIBA NA AMANA ZITALIPWA RIBA YA 5.5% KWA MWAKA. ILI KUJENGA UELEWA WA PAMOJA WA CHAMA NA WELEDI KATIKA Continue Reading
Kwa kuwa imeonesha, haja ya kuongeza mtaji kupitia Akiba, Amana, na ununuzi wa Hisa, Mkutano Mkuu unaazimia elimu iendelee kutolewa kwa wanachama wote Kwa kuwa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ni muhimu katika upashanaji wa Habari, Mkutano Mkuu unaazimia mitandao ya Kijamii ya chama ikiwepo Tovuti/Website, Instagram, Youtube na Facebook iliyokwisha anzishwa ianze kutumika live Continue Reading
Watendaji wa Chama cha Ushirika wa kuweka fedha na kukopa wa Usalama wa Raia SACCOS (URA SACCOS) wanaendelea kujengewa uwezo wa kiutendaji katika kikao kazi cha siku tatu kinachofanyika mkoani Tanga
Mkuu wa kitengo cha rasilimaliwatu Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Anthony Rutashuburugukwa, akikata utepe kuashiria kupokea vifaa vya kitabibu vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 170 kutoka Ushirika wa Kuweka na Kukopa Fedha wa Usalama wa Raia (URA SACCOS), kulia kwake ni mwakilishi wa bodi ya URA SACCOS, Stanford Busumbiro na Continue Reading
MAELEKEZO YA NAMNA Y A KUPIGA PICHA YA KITAMBULISHO CHA URA SACCOS. KAMERA YA KAWAIDA/ KAMERA YA SIMU YENYE UWEZO ANGALAU KUANZIA 2 MEGAPIXEL PICHA IPIGWE KWENYE MWANGA WA MCHANA BILA FLASH NA KIVULI. UPIGAPO PICHA SIMAMA UMBALI WA FUTI MOJA TOKA KWENYE USULI [ BACKGROUND]. PIGA PICHA UKIWA UMEVAA SHATI LA KIRAIA. SIMAMA Continue Reading