Wasiliana nasi
Tumia njia iliyo rahisi kwako. Kwa salio na control number, ofisi au WhatsApp ni haraka zaidi kuliko barua pepe.
- Simu
Jumatatu – Ijumaa, 08:00 – 16:30
Salio, control number, mikopo
- Barua pepe
Tunajibu ndani ya siku moja ya kazi
- Nukushi
- +255 222 850 068
- Makao makuu
- Barabara ya Kilwa, mkabala na Chuo cha Maafisa wa Polisi, KurasiniS.L.P 46388, Dar es Salaam, Tanzania
- Saa za kazi
- Jumatatu – Ijumaa, 08:00 – 16:30
Jumapili imefungwa
Una lalamiko? Liwasilishe hapa na tutalifuatilia.
