Habari zote
HAFLA
URA SACCOS yatunukiwa tuzo ya chama bora cha ushirika wa fedha kwa SACCOS za waajiriwa
Tuzo imetolewa na Jukwaa la Ushirika Mkoa wa Dar es Salaam tarehe 20 Mei 2026 na kukabidhiwa na Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Dkt. Benson Ndiege.
URASACCOS Admin
URA SACCOS imepata tuzo ya chama bora cha ushirika wa fedha kwa SACCOS za waajiriwa.
Tuzo hiyo imetolewa na Jukwaa la Ushirika Mkoa wa Dar es Salaam tarehe 20 Mei 2026 na kukabidhiwa na mgeni rasmi, Mrajis wa Vyama vya Ushirika nchini, Dkt. Benson Ndiege.
Tuzo hii inaongezea kwenye orodha ndefu ya tuzo ambazo chama kimeendelea kupata kutokana na utendaji mzuri, utawala bora na kufuata sheria na kanuni za ushirika.
Picha zaidi
Imechapishwa pia kwenye Instagram

