Habari zote

HAFLA

URA SACCOS yajinyakulia tuzo ya SACCOS bora mahali pa kazi

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Zubery Omella, amekabidhi tuzo ya TCDC kwa Meneja Mkuu ACP Kim O. Mwemfula kwenye uzinduzi wa taarifa ya utendaji wa SACCOS 2023.

URASACCOS Admin

Tarehe 5 Septemba 2024 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Zubery Omella, amekabidhi tuzo ya SACCOS bora mahali pa kazi kwa Meneja Mkuu wa URA SACCOS, ACP Kim O. Mwemfula, katika hafla ya uzinduzi wa taarifa ya utendaji kazi wa SACCOS kwa mwaka 2023, iliyofanyika kwenye ukumbi wa GR Comfort Hotel jijini Mbeya.

Tuzo hizo zimeandaliwa na Tume ya Maendeleo ya Vyama vya Ushirika nchini (TCDC) kutokana na taarifa zilizokaguliwa za utendaji kazi za mwaka 2023.

Picha zaidi

Imechapishwa pia kwenye Instagram

Shiriki:
URA SACCOS yajinyakulia tuzo ya SACCOS bora mahali pa kazi | URASACCOS