Close

Yearly Archives:2024

MSONKHO SACCOS – Malawi

Jumanne ya tarehe 06/08/2024 URA SACCOS imepata bahati ya kutembelewa na Viongozi wa MSONKHO SACCOS (Mamlaka ya mapato) kutoka nchini MALAWI, Wamekuja kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala mbalimbali ya uendeshaji wa Vyama vya Ushirika wa kifedha.Katika mazungumzo na Menegimenti/Watendaji wa URA SACCOS walisema SACCO yao bado ni changa kwani ilianzishwa mwezi Disemba Mwaka 2023, Continue Reading