Mkopo wa Mshahara

Unarejeshwa kupitia makato ya mshahara. Maombi na nyongeza (top-up) hufanyika kupitia ESS.

Nani anastahili

  • Askari au mtumishi wa Jeshi la Polisi Tanzania na mwanachama hai wa URA SACCOS
  • Makato yote baada ya mkopo huu hayazidi theluthi mbili (2/3) ya mshahara wa msingi
  • Muda wa kurejesha: miezi 12 hadi 48

Nyaraka zinazohitajika

  • Omba kupitia mfumo wa ESS wa mwajiri
  • Salary slip ya hivi karibuni

Faida

  • Riba 12% kwa mwaka, kwa salio linalopungua
  • Hakuna usumbufu wa marejesho — yanakatwa kwenye mshahara
  • Nyongeza ya mkopo (top-up) inapatikana
Mkopo wa Mshahara — URASACCOS