KATIKA KUENDELEZA UTOAJI WA HUDUMA BORA YA MKOPO NA YENYE GHARAMA NAFUU KWA WANACHAMA, MKUTANO MKUU UMEAZIMIA KUPUNGUZA KIWANGO CHA RIBA YA MKOPO KUTOKA 8.1% KWA MWAKA NA KUWA 7.5% KWA MWAKA KUANZIA JANUARI 2022. PIA AKIBA NA AMANA ZITALIPWA RIBA YA 5.5% KWA MWAKA. ILI KUJENGA UELEWA WA PAMOJA WA CHAMA NA WELEDI KATIKA Continue Reading
Ufunguzi wa Mafunzo ya Wawakilishi na Watendaji wa URA SACCOS LTD yaliyofunguliwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Ulrich Matei katika ukumbi wa mikutano wa Hotel ya Mbeya Highlands tarehe 27/10/2021. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Ulrich Matei akizungumza na Wawakilishi na Watendaji Continue Reading
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Ramadhani Kailima akizungumza wakati akifungua mkutano mkuu wa 12 wa chama cha URA SACCOS uliofanyika jiji Tanga na kudhuhuriwa na viongozi wa matawi wa chama cha URA SACCOS kutoka nchi nzima Mwenyekiti wa Bodi ya Ura Sacoss CP–BENEDICT M. WAKULYAMBA akizungumza wakati wa mkutano Continue Reading