Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchi, IGP. Camillus Wambura amepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 235.5 kutoka Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo Usalama wa Raia Saccos (URA SACCOS Ltd) leo Aprili 20,2024 katika Hospitali ya Rufaa ya Jeshi la Polisi Iliyopo Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam. Msaada Continue Reading
Mkutano Mkuu wa 15 wa URA SACCOS umetamatika tarehe 20/10/2023 mkoani Morogoro ukiongozwa na kauli mbiu isemayo ”Hatimaye Tumefika, Huduma za URA Saccos Ltd Kiganjani”. Mgeni rasmi kwenye Mkutano huo alikuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini afande IGP Camillus Wambura ambaye alisema kuwa “Ambao bado hawajajiunga katika Chama hiki wajiunge ili wafaidike na huduma Continue Reading