Close

Uncategorized

  • Home
  • Uncategorized

MAAZIMIO YA MKUTANO MKUU WA KUMI NA MBILI WA URA SACCOS ULIOFANYIKA TAREHE 12-12-2020 MKOANI TANGA

Kwa kuwa imeonesha, haja ya kuongeza mtaji kupitia Akiba, Amana, na ununuzi wa Hisa, Mkutano Mkuu unaazimia elimu iendelee kutolewa kwa wanachama wote Kwa kuwa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ni muhimu katika upashanaji wa Habari, Mkutano Mkuu unaazimia mitandao ya Kijamii ya chama ikiwepo Tovuti/Website, Instagram, Youtube na Facebook iliyokwisha anzishwa ianze kutumika live Continue Reading

Makabidhiano ya vifaa vya kitabibu vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 170 vilivyotolewa na Ushirika wa Kuweka na Kukopa Fedha wa Usalama wa Raia (URA SACCOS)

Mkuu wa kitengo cha rasilimaliwatu Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Anthony Rutashuburugukwa, akikata utepe kuashiria kupokea vifaa vya kitabibu vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 170 kutoka Ushirika wa Kuweka na Kukopa Fedha wa Usalama wa Raia (URA SACCOS), kulia kwake ni mwakilishi wa bodi ya URA SACCOS, Stanford Busumbiro na Continue Reading