Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Jeshi la Polisi Tanzania, URA SACCOS kimekabidhi Vifaa Tiba pamoja na Kompyuta kwa Vikosi vya Jeshi la Polisi Tanzania tarehe 22.08.2022. Vifaa Tiba ni kwa ajili ya Zahanati ya Jeshi iliyopo Kunduchi Dar es salaam na Zahanati ya Jeshi la Polisi mkoa wa Simiyu. Kumpyuta kumi na Continue Reading