Close

Matukio mbalimbali katika picha mkutano mkuu 2020

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Ramadhani Kailima akizungumza wakati akifungua mkutano mkuu wa 12 wa chama cha URA SACCOS uliofanyika jiji Tanga na kudhuhuriwa na viongozi wa matawi wa chama cha URA SACCOS kutoka nchi nzima

Mwenyekiti wa Bodi ya Ura Sacoss CP–BENEDICT M. WAKULYAMBA akizungumza wakati wa mkutano wa 12 wa URA SACCOS.

Meneja mkuu wa Ura saccos SSP-Kim Onai Mwemfula akizungumza na washiriki katika mkutano wa kumi na 12 wa ura saccos.

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Ramadhani Kailima aliyekaa katikati akiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kufungua mkutano mkuu wa 12 wa URA SACCOS, kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ura Sacoss CP–BENEDICT M. WAKULYAMBA

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *